Idea ya wimbo kabla ya lyrics:
Mimi sio wa kawaida, sina vile vinavyong’a kwa wengi kama kijana malidadi anavyotakiwa. Kwa tathmini yangu ya haraka naona utaboeka ukijaribu kukaa na mimi hata nusu saa.
Nilishawahi kujaribu kujiweka kama wengine nikashindwa, sijaumbiwa kupayuka kuwa kwenye trend. Nilitamani kwa wingi wa hisia zangu kujaribu tena kwako ila naona nitafeli mapema. Kwa design yako changamfu achana na tukiachana na kunielewa naona kama itakuwia ngumu kujitamba kuhusu mimi, wapi utanipost kijana mshamba nisiye yajua ya jiji.
Nibaki nayo moyoni au nijitoe ufahamu?
Demo sound:
I write deep, relatable lyrics that actually connect. DM me to work.

