Wow! kila nikiamka nakutambua wewe ni mpenzi wangu,
Haujui tu siku naipangaje.
Ilibidi muda wote niwe na wewe,
Sema tu inabidi ulale na tufanye kazi.
Mtikisa hisia,
Mpenzi wangu.
Kitu kidogo tu sielewi unanifikisha wapi.
Kwa namna hii nahisi nimeshakuwa addicted.
Wewe kuwa moodless siishi vizuri hiyo siku.
Itanibidi nifanye chochote kurudisha tabasamu lako.
Tabasamu lako ukamilifu wangu.
Please smile for me.

